Usimamizi wa shamba la kuku

Shamba lenye mpangilio. Biashara yenye mwanga.

KUKUFARM inaunganisha uzalishaji, mauzo, stoo, fedha na usimamizi wa wafanyakazi kwenye mfumo mmoja unaorahisisha maamuzi ya kila siku.

Taarifa za shamba, zikiwa pamoja sehemu moja.

01Mifugo na uzalishaji
02Mayai na stoo
03Mauzo na wateja
04Fedha na wafanyakazi

Kazi za kila siku, sehemu moja

Kuanzia banda hadi ripoti ya biashara.

Rekodi shughuli na ufuatilie hali ya shamba bila kutawanya taarifa kwenye daftari na mafaili tofauti.

01 / Uzalishaji

Fuatilia mifugo na uzalishaji

Dhibiti makundi ya kuku, vifo, mayai ya kila siku, matumizi ya chakula, chanjo na bidhaa za uzalishaji.

02 / Biashara

Simamia mauzo na stoo

Hifadhi taarifa za wateja, quotation, maagizo, malipo, ankara na miendo ya bidhaa za stoo.

03 / Uendeshaji

Elewa fedha na timu

Fuatilia gharama, hesabu, mali, mishahara na likizo; toa ripoti za PDF na Excel kwa maamuzi bora.

KUKUFARM

Taarifa sahihi. Uendeshaji ulio wazi. Shamba linalokua.

Ingia kwenye mfumo  →